Archive Page

FAHAMU: Orodha ya vitabu vilivyoorodheshwa haimaanishi kuwa vimeidhinishwa na shirika la Focus on the Family.

Elimu ya Ujinsia, Tabia na Mahusiano

Kupanda

Ascend ni 501(c)(3) shirika lisilo la kibiashara ambalo huandaa na kuunganisha uga wa kitaifa wa kuepuka hatari ya kujamiiana (SRA) ili kuwawezesha vijana kufanya maamuzi yenye afya kuhusu ngono, mahusiano na ndoa.
Tovuti: https://weascend.org

Msingi wa Urithi

Taarifa kuhusu elimu ya kutoshiriki ngono na ufanisi wake.
Tovuti: https://www.heritage.org [search: Abstinence]

Huduma ya Josh McDowell

Vitabu vinayowahimiza vijana kutoshiriki ngono mapema na kufanya uamuzi wa busara kwa ajili ya siku zao za baadaye. Utafiti juu ya Ponografia.
Tovuti: https://www.josh.org https://www.josh.org/new-research-page/

Mhimili

Kuwasaidia wazazi na walezi walio watu wazima kuongea na watoto wao maongezi ambayo si ya kawaida, ongezi moja baada ya jingine. Nyenzo za teknolojia na vyombo vya habari, ujinsia, afya ya akili na kadhalika.
Tovuti: https://axis.org

Kutetea Akili Changa

Kuwaandaa wazazi, wataalamu na viongozi wa jamii kulinda akili za vijana kutokana na madhara ya ponografia.
Tovuti: https://www.defendyoungminds.com

Kupiga Vita Dawa Mpya za Kulevya

Utafiti na nyenzo za elimu zinazoamsha ufahamu juu ya athati mbaya za ponografia.
Tovuti: https://fightthenewdrug.org

Mapinduzi ya Maadili

Kuandaa na kukuza mabadiliko yanayoleta mapinduzi jinsi mtu anavyoelewa, kuthamini na kutunza usafi na maadili.
Tovuti: https://www.moralrevolution.com

Bila Mipaka

Bila mipaka ni jumuiya ya Focus on the Family kwa vijana wakristo ambao wanataka kufuata imani, mahusiano na utu uzima kwa ujasiri na furaha.
Tovuti: https://www.boundless.org

Elimu ya Tabia

Kituo cha maendeleo ya maadili na tabia.
Tovuti: https://www.jstor.org/stable/42742284

Taasisi ya Josephson – Kituo cha maadili ya vijana

Kwa ninij elimu ya tabia ni muhimu?
Tovuti: https://www.charactercounts.org https://josephsoninstitute.org

Dr. Judith Reisman

Utafiti na taarifa kuhusu makundi ya usalama wa ngono kama vile Taasisi ya Kinsey na Uzazi wa Mpango.
Tovuti: https://www.thereismaninstitute.org

Matibabu na Afya

Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Maradhi (CDC)

Taarifa juu ya magonjwa mbalimbali ikiwamo pamoja na magonjwa ya zinaa.
Tovuti: https://www.cdc.gov

Idara ya Afya ya Marekani na Huduma za Binadamu (DHHS)

Tovuti: https://www.hhs.gov

Taasisi ya Matibabu ya Afya ya Ngono (MISH)

Mkusanyiko wa data kuhusu milipuko pacha ya magonjwa ya zinaa na mimba za haramu.Taarifa muhimu na ya kina, nyenzo ambayo ni huru, sahihi kiafya na mwongozo wa kuandaa na kupitia mtaala wa elimu ya ngono.
Tovuti: https://www.medinstitute.org

UNAIDS: Mpango wa Umoja wa Mataifa kuhusu VVU/UKIMWI

Ripoti ya duniani kuhusu ukimwi na ukweli kuhusu VVU.
Tovuti: https://www.unaids.org/en/

Shirika la Afya Duniani (WHO)

Takwimu za kimataifa za magonjwa ya zinaa na VVU/UKIMWI.
Tovuti: https://www.who.int/en/

Mielekeo ya Vijana

Vituo vya Kudhibiti na Kuzuia Maradhi (CDC) Ufuatiliaji wa Tabia za Hatari kwa Vijana. Uchunguzi wa wanafunzi wote wa Marekani walio darasa 9-12.
Tovuti: https://www.cdc.gov/HealthyYouth/yrbs/

Mielekeo ya Watoto

Takwimu na utafiti kuhusu mielekeo ya vijana kama vile hatari za kupata magonjwa ya zinaa na viwango vya vijana wanaozaa watoto.
Tovuti: https://www.childtrends.org

Utakatifu wa Maisha ya Mwanadamu na Maendeleo ya Binadamu

Huduma za Kikristo za Bethany

Shirika lisilo la kibiashara ambalo hutoa huduma za kuasili na kulea watoto yatima nchini Marekani; pia hutoa nyenzo mbalimbali kuhusu kuasili, uavyaji mimba na malezi ya mzazi mmoja.
Tovuti: https://www.bethany.org

Majaliwa kwa Maendeleo ya Binadamu

Shirika lisilo la kibiashara ambalo limejitolea kuboresha elimu ya sayansi ya afya na afya ya umma.
Tovuti: https://www.ehd.org

Nyumba ya Urithi

Hutoa vitabu na nyenzo za kuelimisha thamani ya maisha na maadili ya kiasili ya familia.
Tovuti: https://www.hh76.org

Ishi kwa Uhakika

Shirika linaloshirikiana na mashule, makanisa na mashirika ya kutetea haki za binadamu, kujenga vijana walio na ufahamu na ujuzi unaohitajika kuishi maisha bora.
Tovuti: https://www.liveonpoint.org

Mpango wa Kitaifa wa Kina Baba

Shirika linalojitolea kuimarisha maisha ya watoto kwa kuongeza idadi ya watoto wanaokua wakiwa na kina baba wanaowajibika.
Tovuti: https://www.fatherhood.org

Vyombo vya Habari

Imechomekwa

Imechomekwa Tovuti iliyo na maoni ya filamu na muziki ili kuwaeleza familia yaliyomo kwenye hizo ili waamue ipi inafaa kwa familia yao.
Tovuti: https://www.pluggedin.com

Vyombo vya Habari vya Akili ya Kawaida

Maoni ya kitaalamu, ushauri unaofaa, zana muhimu, ukadiriaji wa filamu, vipindi vya televisheni, podikasti, vitabu na mengine mengi ili familia ziwe na taarifa na kuweza kuchagua kwa furaha burudani za watoto wao.
Tovuti: https://www.commonsensemedia.org

Televisheni ya Wazazi na Baraza la Vyombo vya Habari

Kutoa habari, nyenzo na utafiti kwa watoto na familia zinazopinga ngono ya wazi, vurugu na lugha chafu kwenye vyombo vya habari, kwa sababu ya madhara yaliyothibitishwa ya muda mrefu.
Tovuti: https://www.parentstv.org

Kituo cha Elimu ya Vyombo vya Habari

Waanzilishi katika idara yao, Kituo cha elimu ya vyombo vya habari ni shirika la elimu ambalo hutoa uongozi, elimu ya umma, maendeleo ya kitaaluma na rasilimali za elimu zinazozingatia ushahidi kitaifa na kimataifa. Kimejitolea kukuza na kusaidia elimu ya vyombo vya habari kama mfumo wa kufikia, kuchambua, kutathmini, kuunda na kushiriki na maudhui ya media.
Tovuti: https://www.medialit.org

Ichuje

Tovuti inayokupatia maoni ya filamu na muziki kwa kulipia ada, yanayokusaidia kufanya uamuzi kuhusu vipindi gani vya burudani vinafaa kwa familia yako .
Tovuti: https://www.screenit.com

  1. The Primal Teen: What the New Discoveries about the Teenage Brain Tell Us about Our Kids (2004)
  2. That teenage feeling (2007)
  3. The adolescent brain (2008)
  4. Whole Life Inventory Singapore (2016-2018)
  5. Peer Participation in Project Northland: A Community‐Wide Alcohol Use Prevention Project (1994)
  6. Peer acceleration: effects of a social network tailored substance abuse prevention program among high‐risk adolescents (2007)
  7. Adolescent Susceptibility to Peer Influence in Sexual Situations (2016)
  8. Perceived Peer Behavior and the Timing of Sexual Debut in Rwanda: A Survival Analysis of Youth Data (2004)
  9. A Meta-analysis of the relations between three types of peer norms and adolescent sexual behavior (2014)
  10. Couples who delay having sex get benefits later (2010)
  11. Before “I Do”: What Do Premarital Experiences Have to Do with Marital Quality Among Today’s Young Adults? (2014)
  12. The America College of Pediatricians -Abstinence education (2014)
  13. Effectiveness of condoms in preventing sexually transmitted infections (2004)
  14. Condom use errors and problems: a global view (2012)
  15. Condom effectiveness in reducing heterosexual HIV transmission: a systematic review and meta-analysis of studies on HIV serodiscordant couples (2015)
  16. Human papillomavirus (HPV) and cervical cancer (2019)
  17. Condom Use by Adolescents (2013)
  18. Global Contraceptive Failure Rates: Who Is Most at Risk? (2019)
  19. Rethinking AIDS Prevention: Learning from Successes in Developing Countries (2003)
  20. Risk compensation: the Achilles’ heel of innovations in HIV prevention? (2006)
  21. Condoms and seat belts -The parallels and the lessons (2000)
  22. Change in sexual risk behavior after 6 months of pre-exposure prophylaxis use (2018)
  23. Increasing condom use without reducing HIV risk: results of a controlled community trial in Uganda (2005)
  24. The time has come for common ground on preventing sexual transmission of HIV (2004)
  25. The Lancet
  26. Rapid Response: Sexual abstinence education. What is the evidence we need? (2007)
  27. Youths & Mental Health (2021)
  28. Adolescent depression and suicide risk: association with sex and drug behavior (2004)
  29. Hooked: New Science on How Casual Sex is Affecting Our Children (2008)
  30. With One Voice 2012: America’s Adults and Teens Sound Off About Teen Pregnancy (2012)
  31. Risky business: Is there an association between casual sex and mental health among emerging adults? (2014)
  32. Marriage and Parenthood Survey (2021)
  33. Abstinence Education: Assessing the Evidence (2008)
  34. “Abstinence” or “Comprehensive” Sex Education?— The Mathematica Study in Context (2007)
  35. Pluralistic Ignorance About Sex: The Direct and the Indirect Effects of Media Consumption on College Students’ Misperception of Sex-Related Peer Norms (2008)
  36. Teenage Sexual Abstinence and Academic Achievement (2005)
  37. Ascend -Sexual Risk Avoidance (SRA) Education Demonstrates Improved Outcomes for Youth (2017)
  38. Youth Risk Behavior Surveillance, United States (2019)
  39. Sex Education Based on Abstinence? There’s a Real Absence of Evidence (2017)
  40. Abstinence-Only Education Is a Failure (2017)
  41. Abstinence pledge -a Malaysian study on its effectiveness in the Hakuna Majuto® program (2011)
  42. The effects of race/ethnicity, income, and family structure on adolescent risk behaviors (2000)
  43. Educating for Character in the Sexual Domain (2013)
  44. Factors Associated with Masturbation in a Collegiate Sample (2002)
  45. Evidence on the Effectiveness of Abstinence Education (2010)
  46. American Psychological Association -Sexual Orientation & Homosexuality (2008)
  47. Harvard Magazine [SCIENCE] -There’s (Still) No Gay Gene (2019)
  48. Science.org – Study of thousands of twins reveals an important role of environment in homosexuality (2008)
  1. The Primal Teen: What the New Discoveries about the Teenage Brain Tell Us about Our Kids (2004)
  2. That teenage feeling (2007)
  3. The adolescent brain (2008)
  4. Whole Life Inventory Singapore (2016–2018)
  5. Peer Participation in Project Northland: A Community‐Wide Alcohol Use Prevention Project (1994)
  6. Peer acceleration: effects of a social network tailored substance abuse prevention program among high‐risk adolescents (2007)
  7. Adolescent Susceptibility to Peer Influence in Sexual Situations (2016)
  8. Perceived Peer Behavior and the Timing of Sexual Debut in Rwanda: A Survival Analysis of Youth Data (2004)
  9. Meta-analysis of the relations between three types of peer norms and adolescent sexual behavior (2014)
  10. Couples who delay having sex get benefits later (2010)
  11. Before “I Do”: What Do Premarital Experiences Have to Do with Marital Quality Among Today’s Young Adults? (2014)
  12. The America College of Pediatricians -Abstinence education (2014)
  13. Effectiveness of condoms in preventing sexually transmitted infections (2004)
  14. Condom use errors and problems: a global view (2012)
  15. Condom effectiveness in reducing heterosexual HIV transmission: a systematic review and meta-analysis of studies on HIV serodiscordant couples (2015)
  16. Human papillomavirus (HPV) and cervical cancer (2019)
  17. Condom Use by Adolescents (2013)
  18. Global Contraceptive Failure Rates: Who Is Most at Risk? (2019)
  19. Rethinking AIDS Prevention: Learning from Successes in Developing Countries (2003)
  20. Risk compensation: the Achilles’ heel of innovations in HIV prevention? (2006)
  21. Condoms and seat belts -The parallels and the lessons (2000)
  22. Change in sexual risk behavior after 6 months of pre-exposure prophylaxis use (2018)
  23. Increasing condom use without reducing HIV risk: results of a controlled community trial in Uganda (2005)
  24. The time has come for common ground on preventing sexual transmission of HIV (2004)
  25. The Lancet
  26. Rapid Response: Sexual abstinence education. What is the evidence we need? (2007)
  27. Youths & Mental Health (2021)
  28. Adolescent depression and suicide risk: association with sex and drug behavior (2004)
  29. Hooked: New Science on How Casual Sex is Affecting Our Children (2008)
  30. With One Voice 2012: America’s Adults and Teens Sound Off About Teen Pregnancy (2012)
  31. Risky business: Is there an association between casual sex and mental health among emerging adults? (2014)
  32. Marriage and Parenthood Survey (2021)
  33. Abstinence Education: Assessing the Evidence (2008)
  34. “Abstinence” or “Comprehensive” Sex Education?— The Mathematica Study in Context (2007)
  35. Pluralistic Ignorance about Sex: The Direct and the Indirect Effects of Media Consumption on College Students’ Misperception of Sex-Related Peer Norms (2008)
  36. Teenage Sexual Abstinence and Academic Achievement (2005)
  37. Ascend -Sexual Risk Avoidance (SRA) Education Demonstrates Improved Outcomes for Youth (2017)
  38. Youth Risk Behavior Surveillance, United States (2019)
  39. Sex Education Based on Abstinence? There’s a Real Absence of Evidence (2017)
  40. Abstinence-Only Education Is a Failure (2017)
  41. Abstinence pledge -a Malaysian study on its effectiveness in the No Apologies® program (2011)
  42. The effects of race/ethnicity, income, and family structure on adolescent risk behaviors (2000)
  43. Educating for Character in the Sexual Domain (2013)
  44. Factors Associated with Masturbation in a Collegiate Sample (2002)
  45. Evidence on the Effectiveness of Abstinence Education (2010)
  46. American Psychological Association -Sexual Orientation & Homosexuality (2008)
  47. Harvard Magazine [SCIENCE] -There’s (Still) No Gay Gene (2019)
  48. Science.org -Study of thousands of twins reveal important role of environment in homosexuality (2008)

LOG IN

Ishi Maisha Yako Bila Kuomba Msamaha